Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, April 12, 2011

AIRTEL WATATUA TATIZO LA MAWASILIANO LOLIONDO


Kampuni ya Simu Airtel yatatua tatizo la mawasiliano Loliondo.
Mchungaji Mstaafu Ambilikile Mwasapile akipokea zawadi ya simu kutoka
iliyotolewa na Kampuni ya Simu ya Mkononi Airtel,anayemkabidhi ni Meneja wa Biashara wa Airtel Mkoa wa Arusha ,Pascal Bikomagu kulia ni DC wa Wilaya ya Ngorongoro Elias akishuhudia tukio hilo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...