
Bondia Mohamed Matumla (kulia) akimrushia ngumi Fredy Sayuni wakati wa mpambano wa kujipima nguvu uliofanyika Amana CCM juz

Bondia Mbwana Matumla (kulia) akipambana na Yohana Robart wakati wa mazoezi ya kujipima nguvu yaliyofanyika katika ukumbi wa Amana

Kocha Habibu KInyogoli akimwelekeza Bondia Yohana Robart JInsi ya kutupa Makonde


Habibu KInyogoli akitangaza mpambano huo wa kujipima nguvu utakaokuwa ukipigwa kila mwisho wa wiki katika ukumbi wa CCM Ilala Amana
No comments:
Post a Comment