
Mkurugenzi wa Compus Communications na Mwaandaaji wa Miss Universe, Maria Sarungi(kushoto) akizungumza wakati wa mjadala wa kujadili mapungufu na mafanikio ya uandaaji wa Miss Universe kwenye Ukumbi wa Basata jijini Dar es Salaam.Katikati ni Makamu Mwenyekiti wa BASATA,Omary Mayangu na Mjumbe wa BASATA, Agnes Kimwaga

Miss Universe akichangia maaada

Mkurugenzi wa Compus Communications na Mwaandaaji wa Miss Universe, Maria Sarungi(kushoto) akizungumza wakati wa mjadala wa kujadili mapungufu na mafanikio ya uandaaji wa Miss Universe kwenye Ukumbi wa Basata jijini Dar es Salaam.Katikati ni Makamu Mwenyekiti wa BASATA,Omary Mayangu na Mjumbe wa BASATA, Agnes Kimwaga na Kushoto ni Mwaandaaji wa Miss Universe, Mwanakombo Salum
No comments:
Post a Comment