
Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscer Shelukindo akizungumzaa na wachezaji wakati wa mashindano ya Kuunda timu ya Mkoa wa Ki nondoni yanayoendelea katika Klabu ya Mwanese Dar es Salaam.

Baba na Mtoto wakishindana kulagi wakati wa mashindano hayo,Kulia ni Baba, Mayaula Muhagama kutoka timu ya Jaba ya Mwananyamala na Mtoto Majaliwa Mayaula wa timu ya Shoko

Wakijiandaa kucheza

Majaliwa Mayaula wa timu ya Shoko akicheza wakati wa mashindano hayo dhidi ya Baba yake Mayaula Muhagama wa Jaba.

Mayaula Mhagama wa timu ya Jaba akicheza dhidi ya Mtoto wake Majaliwa Mayaula kutoka timu ya Shoko wakati wa mashindano hayo.

Mayaula akicheza
No comments:
Post a Comment