
Mzee Yusufu akikisakata Kiduku sambamba na vijana wake
Wasanii wa Muziki wa Kizazi kipya waliothibitishwa kutumbuiza mashabiki wa Taarabu ktk usiku huo ni pamoja na Barnaba, Bob Junior na Dullayo

Barnaba mzee wa Kubembelaza atakuwepo

Dullayo mkali aliyeimba 'Twende na mimi' atakuwepo

Bob Junior mzee wa OYOYO, Raisi wa wasafi, raisi wa Watanashati aka President wa Sharobaro nae atakuwepo

Mzee Yusufu atasindikizwa na Babu Ayubu akiwa na jisongi lake kali la Loliondo na Chaja ya Kobe.
Sio Usiku wa Kuukosa huu mdau, kwa kiingilio cha Tshs. 5000/= tu
No comments:
Post a Comment