Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, April 1, 2012

KAMANDA GULUMO WA MSONDO NGOMA AREJEA JUKWAANI KWA KISHINDO BAADA YA KUPONA MARADHI YALIYOKUWA YAKIMSUMBUA

Waimbaji wa bendi ya msondo ngoma wakiwajibika wakati wa onesho lao lililofanyika katika viwanja vya klabu ya sigara Dar es salaam jana kushoto ni Eddo Sanga na Shabani Dede bendi hiyo leo hipo katika ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni
Wasanii wa bendi ya Msondo ngoma wakitoa burudani katika viwanja vya Sigara Dar es salaam jana kushoto ni Shabani Dede na Muhidini Gulumo ambaye amerudi kwa kishindo baada ya kuwa benchi kwa wiki mbili wakati akiwa anaumwa na sasa yupo fiti kuendelea kutoa burudani kwa wapenzi wa bendi hiyo leo watamaliza wiki End katika ukumbi wa Max bar Ilala Bungoni.(Picha na www.burudan.blogspot.com)Link
Wasanii wa bendi ya Msondo ngoma wakitoa burudani katika viwanja vya Sigara Dar es salaam jana kushoto ni Shabani Dede na Muhidini Gulumo ambaye amerudi kwa kishindo baada ya kuwa benchi kwa wiki mbili wakati akiwa anaumwa na sasa yupo fiti kuendelea kutoa burudani kwa wapenzi wa bendi hiyo leo watamaliza wiki End katika ukumbi wa Max bar Ilala Bungoni.(Picha na www.burudan.blogspot.com)
Msemaji wa bendi ya Msondo ngoma Rajabu Mhamila SUPER D akicheza wakati wa bendi hiyo ikitumbuiza jana

Msemaji wa bendi ya Msondo ngoma Rajabu Mhamila SUPER DMsemaji wa bendi ya Msondo ngoma Rajabu Mhamila SUPER D
Wadau wa msondo ngoma ambao ni Waandishi wa habari wakijadiliana jambo wakati wa burudani hizo jana kushoto ni Tulo Chambo na Juma Kasesa

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...