Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, April 4, 2012

TANZANIA ALL STARS KWENDA KULA PASAKA KENYA

Mchezaji wa Zamani KItwana Manara ambaye alikua goli kipa wa zamani wa timu ya taifa akizungumza na wahandishi wa harari kuhusu safari yako ya kwenda Kenya Kesho kwa ajili ya michuano ya Pasaka
Mchezaji wa Zamani Hassani Mnyenye akizungumza na wahandishi wa habari leo kuhusu safari yao ya kwenda kenya kesho kwa ajili ya mashindano ya pasaka

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...