Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, May 7, 2012

Uongozi wa azam waipongeza timu yao kwa kuibuka washindi wa pili ligi kuu ya Vodacom

 


Makamu Mwenyekiti wa timu ya AZAM FC.Bw Said Mohamed akitoa hotuba jana katika ukmbi wa hoteli ya JB Belimont  jijini Dar es salaam wakati wa hafla ya kuipongeza timu ya Azam Fc kwa kuwa mshindi wa pili wa ligi kuu ya Vodacom .
(PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)
Kocha wa Azam Fc Bw;John Stewart Hall.nae akitoa msisitizo katika hafla hiyo
Katibu mkuu wa Tff Bw;Angetile Osiah akisisitiza jambo katika hafla ya kuipongeza timu ya Azam Fc.
MWENYEKITI wa Simba, Ismail Aden Rage nae akisisitiza jambo katika hafla hiyo.
Mtangazaji wa Radio One .Bw. Omari Katanga akikabidhiwa Tuzo na  Mbunge wa Kinondoni Idd Azan kwa  kuwa mmoja wa waandishi bora wa michezo Tuzo hizo zilitolewa na uongozi wa klabu ya Azam wakati wa hafla ya kuipongeza timu ya Azam Fc kwa kuwa mshindi wa pili wa ligi kuu ya Vodacom.
Mkurungenzi wa  michezo katika wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na michezo Bw. Leonard Thadeo katikati akimsikiliza Mbunge wa Kinondoni Idd Azan wakati wa hafla hiyo kushoto ni makamu mwenyekiti wa Azam FC  Bw Said Mohamed

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...