Spika Makinda apokea ripoti ya Mapendekezo kuhusu Mapato na Matumizi ya Serikali
Mwenyekiti
wa kamati Mahsusi iliyoundwa na Mhe Spika kuishauri serikali namna ya
kuongeza uwigo wa mapato Mhe. Andrew Chenge akitao utangulizi wa ripoti
yao kabla ya kumkabidhi Spika wa Ofisini kwake Bungeni jana
Mwenyekiti
wa kamati Mahsusi iliyoundwa na Mhe Spika kuishauri serikali namna ya
kuongeza uwigo wa mapato Mhe. Andrew Chenge akimkabidhi Spika wa Bunge
Anne Makinda ripoti yao. Kamati hiyo iliundwa na Mheshimiwa Spika kwa
lengo ka kuaandaa Mapendekezo ya kuishauri serikali kuhusu kuainisha
vyanzo mbalimbali vya Mapato ndani ya serikali yaliyo ya kodi na yasiyo
ya kodi
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa amekabidhiwa ripoti hiyo
Spika
wa Bunge Anne Makinda akiwapongeza wajumbe wa kamati amati Mahsusi
iliyoundwa na Mhe Spika kuishauri serikali namna ya kuongeza uwigo wa
mapato mara baada ya kukabidhiwa ripoti ya kamati hiyo ambayo
ataiwasilisha serikalini. Picha na Owen Mwandumbya
No comments:
Post a Comment