Rais wa chama cha Riadha Tanzania (RT) Anthony
Mtaka ambaye ni mkuu wa wilaya ya Mvomero akikabidhiwa mpango mkakati wa riadha
kuelekea kwenye olympiki ijayo ya mwaka 2016 na Makamu Mwenyekiti wa chama
hicho, Utawala, William Kallaghe ambayo itafanyika Rio De Janeiro nchini Brazil katika hafla iliyofanyika mara baada ya
kumalizika kwa kikao cha kamati ya utendaji kituo cha michezo cha Highlands
Kigurunyembe mkoani Morogoro. kulia ni Katibu wa Riadha Tanzania. Mujaya Nyambui
na kushoto ni Mhazini wa chama hicho, Suleiman Ishigue.
MORPGORO,
Tanzania
SHIRIKISHO
la Riadha Tanzania limezindua MPANGO mkakati wake wa miaka mitano kuelezea
mashindano ya olimpiki yatakayofanyika Brazil Rio de jenerio 2016
.
MPANGO huo ulikabidhiwa kwa Rais wa RT, Anthony
Mtaka, mara baada kumalizika kwa Kikao cha Kamati ya utendaji ya RT, katika
kituo cha Michezo cha the highlands mjini Morogoro
juzi.
Akizungumzia mkakati huo, Rais wa RT Mtaka
akisema mpango huo unalenga la kuiwezesha Tanzania kushiriki kikamilifu na kwa
mafanikio makubwa ukilinganishwa na miaka mingine.
Mpango huu umenena katika kuwezesha Tanzania
kushirki kikamilifu katika mashindano mbalimbali ikiwemo all Africa game hadi
Olympic ya Rio de janeiro.
Kupitia Mango huo, program mbalimbali za kuandaa
wachezaji wenye umri tofauti kushiriki mashindano mbalimbali ya kimataifa
kuelezea kimataifa.
Mbali na Mpango Mkakati huo bali na mpango
mkakati huo, pia kikao hicho kilipitia rasimu ya katiba mpya ya chama
jicho.
Pia Kikao hicho kiliitisha kufanyia kwa
mashindano ya MNYIKA ya Taifa, Yatakayofnyika machi 10 mjini Morogoro.
Mashindano hayo yatatumika pia kuchangia timu ya
Taifa itakayoshiriki mashindano ya dunia machi 24 huko Poland.
Kingine kilichopitishwa ni kalenda ya Mwaka ya
RT ambayo inatarajiwa kutumwa mikoani kwa ajili ya
utekelezaji.
No comments:
Post a Comment