Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu akijaribu kuwasha moja ya
pikipiki 16 zilizotolewa jana na serikali kwa jeshi la polisi mkoani
humo ili ziweze kusaidia ulinzi katika ngazi ya tarafa,katikati kamanda
wa polisi mkoani humo Deusdedit Nsimeki na kulia mstahiki meya wa
manispaa ya Songea Charles Mhagama. (PICHA ZOTE NA MUHIDINI AMRI)
No comments:
Post a Comment