Waziri
wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa (MB) leo ametangaza rasmi
matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Nne, maarifa na QT.
Jumla
ya watahiniwa waliofaulu kwa Mujibu wa Matokeo hayo ni 23520 kuanzia dara
la I hadi la II huku katika mchakato huo wasichana waliofaulu katika
mchakato huo ni 7178 na wavulana ni 16342.Aidha Waziri Kawambwa amesema kuwa
waliofaulu kwa daraja la kwanza ni 1641, daraja la pili ni 6495 na daraja la
tatu ni 15426 na walio feli ni 24903.
Shule
bora ni pamoja na St. Francis Girl ya Mbreya, Marian Boys ya Bagamoyo, Feza
Boys DSM, Marian Girls Bagamoyo, na Simini ndizo zipo tano bora huku shule
nyingine ni Kanosa, Jude, St. Mary.
Kupata
matokeo ya kidato cha nne tembelea kwenye mtandao wa NECTA...
http:www.necta.go.tz/Bonyeza chini.
No comments:
Post a Comment