Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Saruji ya Twiga (TPCC) Lesoinne Pascal (kushoto) akiwa na mmoja wa wasambazaji wa malighafi za kampuni hiyo Hussein Ahmed wa kampuni ya SR Enterprises baada ya kumkabidhi Cheti katika hafla ya shukrani iliyofanywa na TPCC kwa wasambazaji wake mapema
wiki hii. Nyuma ni wafanyakzi wa TPCC kitengo cha Masoko.
No comments:
Post a Comment