Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Kampuni ya simu Zantel Bw. William Mpinga (kulia) akimkabidhi msaada wa magodoro vyakula pamoja na vitu mbalimbali kwa Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bi. Chiku Galawa kwa ajili ya watu waliopatwa na maafa ya kulipukiwa na mabomu, Gongolamboto leo jumla ya garama ya vitu vyote milioni 20 vilivyotolewa na Kampuni hiyo
No comments:
Post a Comment