Marquee
Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!
tangazo
Friday, February 18, 2011
WAKUU WA VYOMBO VYA HABARI WAONGEA NA WAKUU WA JESHI LA WANANCHI
Mkaguzi Mkuu wa Jeshi la wananchi wa Tanzania, Brigedia Jenerali, Leonard Mndeme (katikati) akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya habari, wakati wa Mkutano na wahariri kuhusu Milipuko ya mabomu iliyotokea katika ghala la kuhifadhia Silaha kikosi cha 511 KJ, Gongo la Mboto Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa Usalama na utambuzi wa Jeshia hilo, Brigedia Jenerali, Paul Mella na Kulia ni Mkurugenzi wa Usalama, Emmanuel Kapesa. Jeshi hilo lilielezea kwa undani juu ya ripoti ya kikao cha Usalama, kuhusu milipuko ya mabomu iliyotokea juzi.
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampini ya IPP, Mshana, akiuliza swali wakati wa mkutano huo uliofanyika leo mchana kwenye Ofisi za Wizara ya Ulinzi, Upanga jijini Dar es Salaam.
http://sufianimafoto.blogspot.com/
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment