Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, February 4, 2011

WAMACHINGA WA KICHINA KUANZA KUKAMATWA KESHO

Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt.Cyril Chami
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt.Cyril Chami (kushoto) akitoa tamko la kukamatwa kwa wafanyabiashara wa kigeni wanaofanya kinyume na sheria katika eneo la Kariakoo Dar es salaam jana kazi hiyo ya kuwakamata inanza leo kulia na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Bw. Lazaro Nyalandu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...