Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, September 15, 2011

Miss Universe Tanzania 2011,Nelly Kamwelu awasili nchini leo


Miss Universe Tanzania 2011,Nelly Kamwelu akiwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa J.K. Nyerere mapema leo asubuhi wakati akiwasili kutoka Sao Paulo,Brazil kulikofanyika fainali za Dunia za mashindano hayo.Nelly Kamwelu ameweza kuiwakilisha vyema nchi yetu katika mashindano hayo na alifanikiwa kuingia katika 16 bora na kushika nafasi ya saba kwenye mashindano ya vazi la taifa.
Miss Universe Tanzania 2011,Nelly Kamwelu akiwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa J.K. Nyerere mapema leo asubuhi.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...