Aisha Mbegu akicheza kwa staili ya pekee iliyowashangaza mashabiki wakati wa onyesho walilolifanya kwenye Ukumbi wa Magereza Msoma Mara wakati wa ziara ya Bendi hiyo Kanda ya Ziwa Victoria
Aisha Mbegu (kulia) akicheza mbele ya mashabiki wakati wa onyesho walilolifanya kwenye Ukumbi wa Magereza Msoma Mara wakati wa ziara ya Bendi hiyo Kanda ya Ziwa Victoria
Wapiga Gitaa wakiwajibika kwa pamoja wakati wa onyesho walilolifanya kwenye Ukumbi wa Magereza Msoma Mara wakati wa ziara ya Bendi hiyo Kanda ya Ziwa VictoriaMkurugenzi wa Bandi ya Extra Bongo Next Level, Ally Chocky akiimba jukwaani wakati wa onyesho walilolifanya kwenye Ukumbi wa Magereza Msoma Mara wakati wa ziara ya Bendi hiyo Kanda ya Ziwa Victoria.
Hoseah Mgoati (Bass) akicharanga Bass wakati wa onyesho walilolifanya kwenye Ukumbi wa Magereza Msoma Mara wakati wa ziara ya Bendi hiyo Kanda ya Ziwa Victoria
Super Nyamwela akicheza mbele ya mashabiki wakati wa onyesho walilolifanya kwenye Ukumbi wa Magereza Msoma Mara wakati wa ziara ya Bendi hiyo Kanda ya Ziwa Victoria
No comments:
Post a Comment