Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, September 15, 2011

PICHA ZA BURUDANI BALOZI WA ZAMBIA NCHINI APAGAWA NA NGOMA ZA ASILI


Balozi wa Zambia nchini Tanzania, Mavis Lengalenga (katikati) akicheza ngoma ya asili iliyokuwa ikitolewa na kikundi cha Sanaa cha Makanjani kutoka nchini Zambia, wakati wa maadhimisho ya Kumbukumbu ya miaka 35 ya reli ya Tazara kuelekea maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania. Maonyesho hayo yalifanyika leo Septemba 14 katika Viwanja vya Tazara jijini Dar es Salaam. Picha www.sufianimafoto.blogspot.com
Kikundi cha Sanaa cha Polisi Tanzania, kikitoa burudani wakati wa maadhimisho ya Kumbukumbu ya miaka 35 ya reli ya Tazara kuelekea maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania. Maonyesho hayo yalifanyika leo Septemba 14 katika Viwanja vya Tazara jijini Dar es Salaam. Picha www.sufianimafoto.blogspot.com
Balozi wa Zambia nchini Tanzania, Mavis Lengalenga (kushoto) akicheza ngoma ya asili iliyokuwa ikitolewa na kikundi cha Sanaa cha Makanjani kutoka nchini Zambia, wakati wa maadhimisho ya Kumbukumbu ya miaka 35 ya reli ya Tazara kuelekea maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania. Maonyesho hayo yalifanyika leo Septemba 14 katika Viwanja vya Tazara jijini Dar es Salaam. Picha www.sufianimafoto.blogspot.com
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi Balozi wa Zambia nchini TanzaniaMavis Lengalenga, ikiwa ni sehemu ya kutambua mchango nchi yake katika ujenzi na maendeleo ya Reli ya Tazara, wakati wa maadhimisho ya Kumbukumbu ya miaka 35 ya reli ya Tazara kuelekea maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania. Mzee Nchimbi na mkewe wamepewa zawadi ya kusafiri na treni ya TAZARA bure katika kipindi chote cha maisha yao. Picha www.sufianimafoto.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...