Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, September 5, 2011

Muziki wa Ngoma Africa Band unapasua anga za kimataifa kwa Kasi kubwa !!


Wakali wa mziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU wamevunja rekodi
kwa kulitingisha onyesho lingine kubwa la afrika markt fest,lililofanyika siku ya jumamosi
3.09.2011 mjini steinhude am meer,jirani na Hannover city,Ujerumani,
Ngoma Africa band na muziki wao wa dansi wamekuwa na tabia za kuwadatisha akili washabiki
katika maonyesho mengi barani ulaya,bendi hiyo inayoongozwa na Kamanda ras Makunja wa FFU,
inautajili wa wanamuziki wenye vipaji wakiwemo akina Chris-B,Diva Bedi Beraca aka Princess Bedi Bella,
Said Vuai,Maxime Vayituma na wengineo.
Ngoma Africa band na mdundo wao made in uswahili unaweza kuwasikiliza hapa www.ngoma-africa.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...