Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, September 6, 2011

NYOTA WA MPIRA WA KIKAPU USA WAANZA KAZI YA KUWAFUA VIJANA NCHINI



Nyota wa mpira wa Kikapu kutoka USA, Tamika Raymond (kushoto) akiwaelekeza baadhi ya vijana kutoka mikoa mbalimbali nchini, jinsi ya kumzuia mpinzani wakati wa kuendesha clinic ya Vijana hao iliyoanza Dar es salam



Nyota wa mpira wa Kikapu kutoka USA, Dee Brown (kushoto) akiwaelekeza baadhi ya vijana kutoka mikoa mbalimbali nchini, jinsi ya kumiliki mpira wakati wa kuendesha clinic ya Vijana hao iliyoanza Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...