Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, June 5, 2014

WASANII WALIOBAHATIKA KUKUZWA KISANAA NA MAREHEMU GEORGE OTIENO. (GEORGE TYSON)


Pichani ni Wasanii wa maigizo ambao wamefanikiwa kupita katika Mikono ya Marehemu George Otieno (George Tyson) katika kazi zao tokea wanaanza kazi ya Sanaa. Kiufupi ni Wasanii wengi sana ambao Marehemu George Tyson amewakuza kisanaa kutokana na uwezo wake mkubwa alionao wa kuongoza vipindi vya runinga na Filamu. Mwili wa Marehemu George Tyson unasafirishwa leo Kuelekea Nchini Kenya Kwaajili ya Mazishi ambapo atazikwa tarehe 14 June 2014 huko kijijini Kwao.Picha na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...