
Nice
& Lovely Miss Tanga 2014, Diana Festo akiwa katika gari lake baada
ya kuibuka mshindi katika shindano lililofanyika Mkonge Hotel jumamosi
June 21' 2014.

Washindi waliofanikiwa kuingia tano bora ya Nice & Lovely Miss Tanga 2014

Mshiriki akiwa katika vazi la ubunifu.

Nice
& Lovely Miss Tanga, Diana Festoa ( katikati ) akiwa na mshindi wa
pili Noon Juma na Vanesa Charles aliyeibuka mshindi wa tatu.
No comments:
Post a Comment