Marquee
Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!
tangazo
Sunday, June 15, 2014
NAIBU WAZIRI WA ELIMU JENISTA MHAGAMA AFUNGA MAFUNZO YA VIONGOZI WA CCM WILAYA YA LUDEWA JIJINI DAR ES SALAAM
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akifunga rasmi mafunzo ya kikazi ya utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi CCM ya 2010 na masuala ya Itikadi kwa viongozi wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Ludewa wakiwemo Wenyeviti, Makatibu na Makatibu wenezi wa wilaya hiyo yaliyokuwa yakifanyika jijini Dar es salaam kwenye hoteli ya JB. Belmont, yakindaliwa na Mbunge Makini na Machachari wa jmbo la Ludewa Mh. Deo Filikunjombe, Viongozi hao wa CCM wilaya ya Ludewa walianza na ziara ya kikazi iliyoanzia Bungeni Mjini Dodoma, Chuo Kikuuu cha UDM na Makao makuu ya CCM mjini humo ambapo walikutana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangula na kuzungumza naye akiwapa nasaha nyingi kuhusu maadili ya uongozi. (PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama aki
mkabidhi cheti cha kuhudhuria semina hiyo Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Ludewa Ndugu Stanley Kolimba.
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama aki
mkabidhi cheti cha kuhudhuria mafunzo hayo Eliud Shemauya Katibu wa CCM wilaya ya Ludewa.
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama aki
mkabidhi cheti cha kuhudhuria mafunzo hayoHonolatus Pilimini Mgaya Katibu Mwenezi wa CCM wilaya ya Ludewa.
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama aki
mkabidhi cheti cha kuhudhuria mafunzo hayo Rosemary Lwiva Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Njombe.
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama aki
kabidhi cheti cha kuhudhuria mafunzo hayoviongozi mbalimbali wa kata CCM wilaya ya Ludewa.
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama aki
mkabidhi cheti cha kuhudhuria mafunzo hayoviongozi mbalimbali wa kata CCM wilaya ya Ludewa.
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama aki
mkabidhi cheti Mbunge wa jimbo la Ludewa Mh. Deo Filikunjombe ambaye ndiye aliyeandaa ziara hiyo na semina ya kimafunzo kwa viongozi mbalimbali wa kata CCM wilaya ya Ludewa.
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama aki
piga picha na viongozi mbalimbali wa kata CCM wilaya ya Ludewa.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment