Mhadhiri aandika kitabu cha kufanya utafiti kwa kutumia kiswahili
Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la
Kilutheri Tanzania(KKKT) na Mhadhiri wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Tumaini
Tawi Njombe Dr. Elia Shabani Mligo (kushoto) akiwaonyesha waandishi wa
habari (leo) jijini Dar es salaam kitabu chake alichoandika
kitakachomsaidia mwanafunzi kuandaa kuandika utafiti kwa urahisi kwa
kutumia lugha ya kiswahili. Kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya EGYS ambaye ni mchapishaji Mkumbo Mitula.
Picha na Tiganya Vincent- MAELEZO- Dar es salaam
Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT) na Mhadhiri
wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Tumaini Tawi Njombe Dr. Elia Shabani Mligo
(kushoto) akiongea na waandishi wa habari (leo) jijini Dar es
salaam kuhusu kitabu chake alichoandika kitakachomsaidia mwanafunzi
kuandaa kuandikKitabu hicho kitakuwa mitaani kwa shilingi elfu 10 tu.
No comments:
Post a Comment