Rais wa chama cha walimu Tanzania (CWT) Bwana Gration Mukoba
akifafanua kuhusu mgogoro wao baada ya kushindikana kusuluhishwa na msuluhuishi
aliyeteuliwa na tume ya Usuluhishi na uamuzi juu ya mgogoro wake na
serikali juu katika madai yao uliotangazwa tarehe 8 / 6 / 2012, mbele ya
waandishi wa habari jijini Dar es salaam.kushoto ni Mweka hazina wa
chama cha walimu Tanzania bwana Mohamed Utaly

Baadhi ya waandishi wa habari walioudhulia mkutano huo katika ofisi ya
chama cha walimu tanzania makao makuu jijini Dar es salaam, wakimsikiliza
kwa makini Rais wa chama cha walimu (hayupo pichani) hakitoa tamko juu
ya mgogoro huo na serikali baada kushindwa kufikia makubaliano kati yao.

No comments:
Post a Comment