Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, July 22, 2012

EXTRA BONGO WAWAPAGAWISHA WATASHA KWA MAKAMUZI NCHINI FINLAND


Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo, Ally Chocky akiimba katika moja ya shoo walizoanza kuzifanya Finland wakati wa Tamasha la First Afrika.
Kiongozi wa wacheza shoo, Super Nyamwela akicheza sambamba na wacheza shoo wenzake Finland.
Wacheza shoo wa Bendi ya Extra Bongo wakishambulia jukwaa wakati wa tamasha hilo nchini Finland.
Kiongozi wa Wacheza shoo wa Bendi ya Extra Bongo, Super Nyamwela akiwaongoza wazungu kucheza baada ya kuvutiwa na staili za wacheza shoo wa bendi hiyo, wakati wa mzoezi ya bendi ya Extra Bongo.
Wacheza shoo wa Extra Bongo wakishambulia jukwaa wakati wakiwa kwenye vazi la asili ya Kitanzani nchini Finland kwenye Tamasha la Fist Afrika.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...