Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimatifa Benard Membe, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo, kwa madhumuni ya kutoa mkono wa pole kwa Rais kutokana na Ajali ya Meli ya Mv Skagit ya Kampuni ya Seagul,na kusababisha wananchi kupotez Roho zao. |
Akikaribishwa baada ya kufika Ikulu ya Rais huyo Mjini Zanzibar leo. |
No comments:
Post a Comment