Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, July 22, 2012

Rais Dk. Shein awaongoza viongozi katika dua ya Hitma ya Waliokufa kwa Ajali ya Meli hivi karibuni

 Rais wa Zanzibar  na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein,(wa tano kushoto) pamja na
Viongozi wengine wa Serikali wakiungana na Waislamu   katika Swala ya
kuwaombea Dua Abiria waliofariki katika Ajali ya Meli Mv Skagit ya
Kampuni ya Seagul,iliyozama hivikaribuni ikitokea Dar es Salaam
kuelekea Zanzibar,swala hiyo ikiongozwa na Mufti wa Zanzibar Sheikh
Saleh Omar Kabi,katika Msikiti wa Mwembeshauri Mjini Zanzibar
leo.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

 Rais wa Zanzibar  na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein,(katikati) pamja na Viongozi wengine wa
Serikali wakiungana na Waislamu   katika Hitma ya  kuwaombea Dua
Abiria waliofariki katika Ajali ya Meli Mv Skagit ya Kampuni ya
Seagul,iliyozama hivikaribuni ikitokea Dar es Salaam kuelekea
Zanzibar, katika Msikiti wa Mwembeshauri Mjini Zanzibar leo.[Picha na
Ramadhan Othman Ikulu.]
 Baadhi ya Waislamu  waliohudhuria katika  Hitma ya
kuwaombea Dua Abiria waliofariki katika Ajali ya Meli Mv Skagit ya
Kampuni ya Seagul,iliyozama hivikaribuni ikitokea Dar es Salaam
kuelekea Zanzibar, katika Msikiti wa Mwembeshauri Mjini Zanzibar
leo.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...