Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, July 21, 2012

KAMATAKAMATA YA WEZI WA UMEME YASHIKA KASI MBAGALA WAENDELEA KUKAMATWA WEZI. Wanne washikiliwa na Polisi.


Meneja wa Tanesko kanda ya Temeke Richarld Mallamia kulia akifuatilia matukio ya wizi wa umeme kwenye mita kwenye zoezi lililofanyika Mbagala.
Wakaguzi wakiwa kazini.
Timu ya wakaguzi wa Kanda ya Dar es Salaam na Pwani Francisca Mbaga kushoto na Elia Shimwela wapili kushoto wakiwahoji watuhumiwa wa wizi wa umeme ilikupata maelezo muhimu.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...