Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, July 21, 2012

SPIKA WA BUNGE ATOA POLE NA SALAMU ZA WABUNGE KWA RAIS WA ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Ali Mohamed Shein,akipokea Salam za Rambi rambi kutoka Spika wa
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Anne Makinda,akiongoza Ujumbe
wa Wabunge hilo walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kutoa  pole kwa
Rais,kutokana na msiba wa ajali ya Meli ya Mv Skagit ya Kampuni ya
Segul iliyozana juzi Ikitokea Dar es Salam na kuelekea Zanzibar.[Picha
na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Spika wa  Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania,Anne Makinda,pamoja na Ujumbe Wabunge aliofuatana
nao wakati walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kutoa  pole kwa
Rais,kutokana na msiba wa ajali ya Meli ya Mv Skagit ya Kampuni ya
Segul iliyozana juzi Ikitokea Dar es Salam na kuelekea Zanzibar.[Picha
na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania,Anne Makinda,akiongoza Ujumbe wa Wabunge hilo
walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kutoa  pole kwa Rais,kutokana na
msiba wa ajali ya Meli ya Mv Skagit ya Kampuni ya Segul iliyozana juzi
Ikitokea Dar es Salam na kuelekea Zanzibar.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...