Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, July 16, 2012

MSAMA ATOA BAISKELI TATU KWA WATU WENYE ULEMAVU


Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama akikabidhi msaada wa baiskeli kwa mkazi wa jijini Dar es Salaam, William Ndahani iliyonunuliwa kutokana na sehemu ya mapato ya Tamasha la Pasaka lililofanyika mwaka huu. Msama alitoa baiskeli zingine mbili kwa watu wenye ulemavu katika hafla iliyofanyika, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...