Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, July 17, 2012

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA MALAWI, MJUMBE WA KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA KUHUSU MALARIA, RAY CHAMBERS NA RAIS KAGAME, AREJEA NCHINI LEO


 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, akisalimiana na Rais Paul Kagame wa Rwanda wakati wa kikao maalum kilichojadili masuala ya Maziwa Makuu kilichofanyika jana jijini Addis Ababa Ethiopia. Rais Jakaya Kikwete, leo amerejea nchini baada ya kumalizika kwa mkutano huo.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Makamu wa Rais wa Malaw, Khumbo Kachali, jijini Addis Ababa Ethiopia wakati wa mkutano wa 19 wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika jana.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, akizungumza na Raymond Chambers,  mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika vita dhidi ya Malaria wakati wa kikao maalum cha African Leaders Malaria Alliance (ALMA) kilichofanyika jijini Addis Ababa jana.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...