Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, July 17, 2012

TAMASHA LA WAJANJA WA VODACOM TANGA NI NOMAAAAAAAAAA


 Msanii wa kizazi kipya Ommy Dimpoz akiwapagawisha wakazi wa jiji la Tanga w
akati wa Tamasha la Wajanja wa Vodacom lililofanyika katika uwanjha wa Mkwakwani mjini humo,likiwa na lengo la kuuelimisha uma kutumia mtandao wa Vodacom kwa kuongea kwa robo shilling na kutuma ujumbe kwa shilingi 25 kwenda mtandao wowote na kuperuzi facebook na twitter bure

 Msanii Machachari wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platinum akionyesha umahiri wake wa kucheza  wakazi wa jiji la Tanga wakati wa Tamasha la Wajanja wa Vodacom lililofanyika katika uwanja wa Mkwakwani mjini humo,likiwa na lengo la kuuelimisha uma kutumia mtandao wa Vodacom kwa kuongea kwa robo shilling na kutuma ujumbe kwa shilingi 25 kwenda mtandao wowote na kuperuzi facebook na twitter bure.
 Nyomi ya wakazi wa jiji la Tanga waliojitokeza katika Taamasha la Wajanja wa Vodacom.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...