Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, July 18, 2012

TANESCO ILALA NA TEMEKE WACHARUKA, Ni kwenye ukamataji wa wezi wa umeme, mifumo ya kisasa yawangoza kugundua wezi, Ilala yapandisha kizimbani 18 Temeke 13. Makusanyo yaongezeka.



Meneja wa Tanesco kanda ya Temeke Richard Mallamia akiwaonyesha waandsishi wa habari mita iliyochezewa na kuunganishwa umeme kinyume na mfumo wa kawaida ilikuiba umeme kwenye duka mojaenep la Kigamboni ambapo zoezi la kukamata wezi wa umeme linaendelea.
Mafundi wakisoma mita na kuandika kumbukumbu zake kwani mita mbilizipo sehemu moja huku moja ikionyesha haina umeme na yenye umeme hata vikiwashwa vitu vyote ndani umeme haupungui 'hiyo ni Kigamboni'
Wataalamu wa mifumo ya umeme na mafundi wa Tanesco kanda ya Temeke wakiangalia namna mita ilivyochezewa na kuiba umeme kwenye nyumba ya mfanyabishara Jamal Hassan eneo la Kigamboni na kuiba umeme.

Mfanyabishara duka na migahawa ya eneo la Kigamboni Jamal Hassan, akipanda kwenye gari la Tanesco kanda ya Temeke ili kumpeleka kwenye kituo cha polisi kutoa maelezo ya kwanini anaiba umeme.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...