Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, October 11, 2013

CRDB BANK YATOA CHAKULA CHA JIONI UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON DC


 Waziri wa Fedha Dkt. Wiliam Mgimwa akiongea machache wakati wa chakula cha jioni kilichoandaliwa na CRDB ubalozi wa Tanzania nchini Marekani  kulia kwake niBalozi wa Tanzania Marekani na Mexico Mhe. Liberata Mulamula.
 Katibu Mkuu Wizara ya fedha Dkt. Silvacius Likwelile aliyesimama akisalimia ujumbe wa  Tanzania pamoja na baadhi ya watanzania waishio Marekani kabla ya kuanza kwa hafla ya chakula cha jioni ubalozi wa Tanzania – Marekani.
 Balozi wa Tanzania Marekani na Mexico Mhe. Liberata Mulamula akitoa utambulisho wa viongozi wakati wa chakula cha jioni kwa ujumbe wa Tanzania na baadhi ya watanzania waishio Marekani.
 Mkurugenzi Mkuu wa CRDB Bank Dkt. Charles Kimei akiongea na ujumbe wa Tanzania na watanzania waishio Marekani  juu ya huduma mpya za kibenki kwa ajili ya Diaspora  na maboresho ya huduma ya Tanzanite.
 Kutoka kulia Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano Dkt. Wiliam Mgimwa, Waziri wa Fedha Zanzibar Bw. Yusuph Mzee, Naibu Gavana wa BOT Dkt. Natu Mwamba wakati wa chakula cha pamoja.


Kutoka kulia wachumi Wizara ya Fedha Bw. Pima Patrick na Erasto Kivuyo wakijipatia chakula cha jioni.
 
Picha zote na Bi. Ingiahedi Mduma na Bi Eva Valerian – Washington DC

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...