Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, October 15, 2013

RAIS KIKWETE KATIKA SHEREHE ZA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE NA WIKI YA VIJANA Rais Jakaya Kikwete, Mama Salma, Waziri wa Habari, Dkt. Fenela Mukangara, Mkuu wa Mkoa Iringa, Ishengoma na Mangula, wakifurahia kwa pamoja wakicheza muziki wakati wa sherehe za Kilele cha Mbio za Menge wa Uhuru zilizofanyika kwenye Uwanja wa Samora mjini Iringa leo mchana.
 Rais Jakaya Kikwete akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru 2013 Bw.Juma Ali Simai leo katika uwanja wa CCM Samora mjini Iringa.
 Rais Jakaya Kikwete, akihutubia katika sherehe hizo.
 Rais Kikwete, akimkabidhi Kikombe Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ishengoma.
 Rais Jakaya Kikwete (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wakimbiza mwenge wa Uhuru 2013 leo mjini Iringa.
Rais Kikwete, akiwa katika picha ya pamoja na Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa na

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...