Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, October 15, 2013

MMKUTANO WA SITA WA WADAU WA LAPF WAFANYIKA JIJINI ARUSHA



 Viongozi wakielekea ukumbi wa mkutano baada ya kuwasili kwenye ukumbi huo wa mikutano wa AICC, jijini Arusha kwa ajili ya kushiriki katika Mkutano wa sita wa Wadau wa LAPFA. Kutoka (kushoto) ni Eliud Sanga, Gaudensia Kabaka, Hawa Ghasia, Prof. Hasa Mlawa na Irene Isaka.
 Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, akitunukiwa zawadi na Waziri Hawa Ghasia.
 Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu na Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio nao walikuwepo.
 Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudencia Kabaka, akifunga Mkutano Mkuu wa 6 wa LAPF mjini Arusha. Kusho ni Waziri Ghasia, Mkurugenzi Mkuu wa LAPF, Eliud Sanga. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka.
 Waziri wa Kazi, Gaudensia Kabaka, akisalimiana na Mkurugenzi wa Uendeshaji, LEPF, Valerian Mablangeti. Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka.
 Waziri wa Kazi, Gaudensia Kabaka, akipokea zawadi kutoka kwa M-Kiti, Bodi ya Udhani wa LAPF, Prof. Hasa Mlawa. Wanoshuhudia ni Hawa Ghasia, Irene Isaka na Eliud Sanga.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...