Picha
ya pamoja ya Kamati maalum ya kuiyombea Zanzibar kwa ajili ya mwaka
mpya 2014 na Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ali Hassan
Mwinyi ilipomtembelea nyumbani kwake Maisara ikiwa ni miongoni mwa
maadhimisho ya miaka 50 ya Mpinduzi ya Zanzibar.
(Picha na Makame Mshenga- Maelezo Zanzibar).
No comments:
Post a Comment