Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, January 8, 2014

WAKAZI WA MWANZA WABURUDIKA NA SKYLIGHT BAND NDANI YA GOLD CREST HOTEL SHEREHE ZA MWAKA MPYA


DSC_0020
Muonekano wa Stage mpya ya Skylight Band ndani ya Hoteli ya Gold Crest jijini Mwanza tarehe 1/1/2014 kwenye
DSC_0063
Super model Neema Mbuya akiwa na chupa za Zappa , huku Skylight Band ilitoa Free shots za Tequila kwa mashabiki 100 wa kwanza ndani ya hoteli ya Gold Crest waliokuja kusheherekea mwaka mpya na Skylight Band jijini Mwanza.
DSC_0058
Mate lazima yakutoke kwa wale wapenzi wa hizi mambo.
DSC_0053
Aneth Kushaba AK 47 wa Skylight Band akijisevia Shots ya Tequila lango kuu la kuingia ukumbi wa Nyerere ndani ya Gold Crest Hotel palipofanyika show ya aina yake kwa wakazi wa Mwanza kusheherekea mwaka mpya.
DSC_0225
Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 akitoa burudani kwa wakazi wa Mwanza ndani ya Gold Crest Hotel kwenye usiku maalum kwa wakazi wa Mwanza kusherekea.
DSC_0158
Pichani juu na chini Mama Amanda pamoja na Eddie wakiburudika na burudani ya Skylight Band.
DSC_0144
Shabiki wa Skylight Band akitunza mijihela kwa waimbaji wa band hiyo wakati wa kusheherekea mwaka mpya ndani ya hoteli ya Gold Crest jijini Mwanza.
DSC_0151
Vijana wa Skylight Band wakitoa burudani kwa mashabiki wao.
DSC_0179
Skylight Band waliweka historia jijini Mwanza 2013-2014.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...