Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, February 11, 2015

BONDIA OMARI KIMWERI ATUA NCHINI NA MWANASOKA WA KIKE WA NCHINI HISPANIABondia Mtanzania anayefanya kazi zake Nchini Australi, Omari Kimweri, (kushoto) akiongozana na mgeni wake mwanasoka wa kike, Melanie Gines ambaye ni raia wa Hispania (wa pili kulia) baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere na kupokelewa na kocha wa mchezo wa masumbwi, Rajabu Mhamila 'Super D' (wa pili kushoto).
Mwanasoka wa kike, Melanie Gines ambaye ni raia wa Hispania (kulia) akipeana mkono na kocha wa masumbwi nchi Rajabu Mhamila 'Super D' baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam, leo mchana.
SUPER D, OMARI KIMWERI NA Melanie Gines. 

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...