Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, January 29, 2015

NGUMI KUPIGWA FEB 28 UWANJA WA NDANI WA TAIFA

BONDIA KING CLASS MAWE AJIFUA ZAIDI KUMKABILI COSMAS

Kelvin Majiba kushoto akimwelekeza bondia Ibrahimu Class ' King Class Mawe' jinsi ya kupiga up cat

Kelvin Majiba kuulia akimwelekeza bondia Ibrahimu Class ' King Class Mawe' jinsi ya kupiga up cat

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa m,asumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimwelekeza bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' jinsi ya kupiga ngumi kali za kidevu wakati wa mazoezi yao yanayoendelea katika GYM ya Uhuru wasichana kwa Super D Picha na SUPER D BOXING NEWS

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila Super D' kulia akiwa na mabondia Omari Bai kushoto Kelvin Majiba na Ibrahimu Class 'King Class Mawe'

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' wa pili kushoto akiwa na bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' katikati na bondia mkongwe wa siku nyingi mzee bonzo wa pili kushoto kulia ni Omari Bai na mtoto na Salim Mponda

MABONDIA WAPIMA UZITO KUINGIA URINGONI KESHO IJUMAA 30 JANUARY

Mabondia Julius Kisarawe kushoto akitunishiana msuli na Abdallah Mkumba baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa kesho ijumaa january 30 katika ukumbi wa Manyara Park CCM Tandale Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Abdallah Mkumba akisaini baada ya kupimwa Afya

Mabondia wakisubili kupima Afya

Mabondia SAID MAGIMBA KUSHOTO AKITUNISHIANA MSULI NA AZIZI ABDALLAH BAADA YA KUPIMA UZITO KWA AJILI YA MPAMBANO WAO UTAKAOFANYIKA KESHO IJUMAA KATIKA UKUMBI WA MANYARA PARK TANDALE CCM PICHA NA SUPER D BOXING NEWS

Tuesday, January 27, 2015

Dege Eco Village yadhamini miaka 66 ya Uhuru ya India.

Mkurugenzi wa Dege Eco Village akihojiwa na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam

Afisa Mauzo, Catherine Mhina akihojiwa na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam

Wageni walikwa kutoka kwenye jamii ya kihindi jijini Dar es Salaam wakisherekea madhimisho ya miaka 66 ya Uhuru wa India.
Dar es Salaam, tarehe 25 Januari 2015 - Kampuni ya Hifadhi Builders iliyokuwa na mradi mkubwa nchini inayoitwa Dege Eco Village wamedhamini madhimisho ya miaka 66 uhuru wa India niliyofanyika ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam.
Dege Eco Village walilenga kuungana na balozi wa India kusherekea miaka 66 ya Uhuru pia kuwapa waTanzania nafasi maalum yakuulizia mradi huu wa Dege Eco Village na pia  kuweza kukutana na wa Menejea Mauzo wa mradi huo.
Akihojiwa meneja Mauzo Bi. Catherine Mhina alisema kwamba Dege Eco Village wanafurahi sana kuweza kukaribia waTanzania katika madhimisho haya na kuweza kuwaelezea mradio mkubwa wa Dege Eco Village. Aliongezea na kusema kwamba mradi huu wa Dege Eco Village iliyopo Ras Dege, Kigamboni itakuwa na huduma za kijamii kama hospitali, shule aina ya chekechea, sekondari, pia kutakuwa supermarket na kadhalika.
Kwa mawasiliano zaidi tembelea tovuti ya www.degeecovillage.com

KING CLASS TEAM YAENDELEA KUJITANGAZA KWA AJILI YA MPAMBANO WA FEB 28

BAADHI YA WAWAKILISHI WA KING CLASS TEAM WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA WAKATI WA KUENDELEA KUTABNGAZA MPAMBANO WA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' KUSHOTO NA COAMAS CHEKA UTAKAOFANYIKA FEB 28 KATIKA UWANJA WA NDANI WA TAIFA WENGINE KATIKATI NI KOCHA WA KIMATAIFA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI RAJABU MHAMILA 'SUPER D' NA BILALI NGONYANI 'MTEMI WA JELA'
KUTOKA KUSHOTO NI KOCHA RAJABU MHAMILA 'SUPER D' BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' NA BILALI NGONYANI
KUTOKA KUSHOTO NI KOCHA RAJABU MHAMILA 'SUPER D' BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' NA BILALI NGONYANI

kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D'

BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' AKIMUONESHA KWENYE FLANA HASIMU WAKE COSMAS CHEKA KUWA ATAMFANYIA KITU MBAYA SIKU YA MPAMBANO WAO WA FEB 28 KATIKA UWANJA WA NDANI WA TAIFA
BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' AKIMUONESHA KWENYE FLANA HASIMU WAKE COSMAS CHEKA KUWA ATAMFANYIA KITU MBAYA SIKU YA MPAMBANO WAO WA FEB 28 KATIKA UWANJA WA NDANI WA TAIFA
BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' AKIMUONESHA KWENYE FLANA HASIMU WAKE COSMAS CHEKA KUWA ATAMFANYIA KITU MBAYA SIKU YA MPAMBANO WAO WA FEB 28 KATIKA UWANJA WA NDANI WA TAIFA

Dege Eco Village yadhamini miaka 66 ya Uhuru ya India.

Mkurugenzi wa Dege Eco Village akihojiwa na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam

Afisa Mauzo, Catherine Mhina akihojiwa na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam

Wageni walikwa kutoka kwenye jamii ya kihindi jijini Dar es Salaam wakisherekea madhimisho ya miaka 66 ya Uhuru wa India.
Dar es Salaam, tarehe 25 Januari 2015 - Kampuni ya Hifadhi Builders iliyokuwa na mradi mkubwa nchini inayoitwa Dege Eco Village wamedhamini madhimisho ya miaka 66 uhuru wa India niliyofanyika ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam.
Dege Eco Village walilenga kuungana na balozi wa India kusherekea miaka 66 ya Uhuru pia kuwapa waTanzania nafasi maalum yakuulizia mradi huu wa Dege Eco Village na pia  kuweza kukutana na wa Menejea Mauzo wa mradi huo.
Akihojiwa meneja Mauzo Bi. Catherine Mhina alisema kwamba Dege Eco Village wanafurahi sana kuweza kukaribia waTanzania katika madhimisho haya na kuweza kuwaelezea mradio mkubwa wa Dege Eco Village. Aliongezea na kusema kwamba mradi huu wa Dege Eco Village iliyopo Ras Dege, Kigamboni itakuwa na huduma za kijamii kama hospitali, shule aina ya chekechea, sekondari, pia kutakuwa supermarket na kadhalika.
Kwa mawasiliano zaidi tembelea tovuti ya www.degeecovillage.com

MWENYEKITI WA BAVICHA TAIFA CHADEMA AWAHUTUBIA WANANCHI WA MUFINDI KASKAZINI

 WILLIAM MUNGAI ambaye ni mtoto wa aliyekuwa mbunge wa jimbo la mufindi kasikazi akiongozana na Mwenyekiti wa BAVICHA taifa Hon.Ole SOSOPI
 makamu mwenyekiti wa BAVICHA taifa Hon.Ole SOSOPI akiwahutubia wananchi katika jimbo la Mufindi Kasikazini.
WILLIAM MUNGAI ambaye ni mtoto wa aliyekuwa mbunge wa jimbo la mufindi kasikazi akiwahutubia wananchi wa jimbo la mufindi kusini ambako anatarajia kugombea ubunge kupitia chadema.
*******************************************
Wananchi wa wilaya ya mufindi  mkoani Iringa wamelalamikia ugumu wa maisha wanaokumbana nao kila kukicha licha ya wilaya hiyo kuwa na utajiri mkubwa wa rasilimali ya misitu pamoja na mazao ya biashara

Akizungumza katika mkutano wa hadhara ulioandaliwa na mjumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa wilayani mufind Williamu Mungai mmoja wa wananchi hao Clement Mwachanga alisema kuwa wilaya hiyo ni moja kati ya wilaya inayofanya vema kwa kuingiza pato kubwa la taifa lakini wananchi wake wako katika wimbi kubwa la umaskini

Mwachanga amesema anashangaa wilaya kama ya mufindi inayoongoza kwa utoaji wa mbao nyingi lakini cha kushangaza shule nyingi  za msingi hazina madawati jambo linalopelekea wanafunzi wengi kukaa chinii

‘’Hii ni aibu kubwa sana kwa wilaya yetu haiwezekani wilaya inarasilimali za kutosha lakini wananchi wake wengine wanashidwa hata kupata mlo mmoja kwa siku huku watoto wao wakishidwa kupelekwa shule kutokana na kushidwa kulipa ada ya kumuandikishia mtoto ”

Kwa upande wake Williamu Mungai ambaye hivi karibuni ametangaza nia ya kulichukua jimbo hilo la mufindi kaskazi ambalo kwa sasa linaongozwa na naibu waziri wa maliasili na utalii Mahamudu Mgimwa amewataka wenyeviti wa mitaa kuhakikisha watoto wote wanaandikishwa shule za msinga hata kama hawana ada ya kuandikishiwa kwa kuwa elimu ni haki ya kila Mtanzania

Mungai  alisema ni kila mtoto ana haki ya kupata elimu ya msingi kwa kuwa ndivyo katiba inavyosema   na kuwataka walimu kuacha mara moja tabia ya kuwarudisha majumba watoto kwa kisingizio cha kukosa hela ya kuwaandikishia

"Niwatake wenyeviti wangu wa mitaa muhakikishe watoto wote wanaandikiswa  na kama kuna mwalimu atagona kumuandikisha kwa kisingizio eti hana shilingi eflu hamsini jikusanyeni pamoja niiteni na mimi twende wote tuone kama hata muandikisha kwa maana walishasema elimu bure sasa bure waliyosema ikuwapi" alisema Mungai

Hata hivyo mungai alisema imefika wakati wakuikomboa mufindi iliyoko katika wimbi la umaskini kwa kutumia rasilimali zilizopo na kuataka wanamufindi kuhakikisha  wanachagua viongozi wenye maono ya mbali katika kuwalete maendeleo na sio porojo za kila siku.

Mungai alisema kuwa  atahakikisha anazunguka vijiji vyote 72 vya wilaya ya mufindi katika harakati zake za kujenga chama na kuweza kutambua kero za wananchi na kuangalia ni jinsi gani ya kuzitatua.
NDASSA, BWANAUSI WATEULIWA KUONGOZA KAMATI YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI Mwenyekiti Mteule wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini Mhe. Richard Ndassa (Mb) akiwashukuru wajumbe wa Kamati hiyo baada ya kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo baada ya Mwenyekiti wa awali Mhe. Victor Mwambalaswa kujiuzulu kufuatia maazimio ya Bunge kuhusu sakata la Account ya Tegeta ya Escrow. Mhe. Ndasa alimshinda mpinzani wake Mhe. Jerome Bwanausi (Mb) katika uchaguzi huo. Makamu Mwenyekiti wa Kamati Bunge ya Nishati na Madini Mhe. Jerome Bwanausi akitoa neno la shukrani mbele ya wajumbe wa kamati hiyo baada ya kuchaguliwa tena kuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo. Picha na Owen Mwandumbya

Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win

Monday, January 26, 2015

WASANII KIBAO WATUMBUIZA TIGO MUSIC!

Khadija Omari Kopa akiwa na wacheza Show wake kwenye tamasha la Tigo Music, lilifanyika usiku wa Jumamosi ya Jan 24 mwaka huu.

Mze Bichuka wa Sikinde nae alibichuka vilivyo!
Juma Katundu wa Msondo Ngoma nae akateremsha Msondo wa NGUVU.
Wakirithi mikoba ya Kina Mze Gurumo na TX Moshi William!
Romario na Totoo ya Moshi, TX JR (kulia).
Mashabiki nao hawakua nyuma ya Pazia, walikaa mbele ya Pazia!
Nivue ni sivue! vuaaaaaaa! Aaaaaaa nivuee eeeee!
Waowwwwwwwwww!
Ebanaeeeeeeee! simchezooo!
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...