Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, January 20, 2015

ZAINABU 'IKOTA' MHAMILA ASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA

Zainabu 'IKOTA' Mhamila kushoto akimlisha keki mama yake mzazi Asha Kamnyanga wakati wa kusherekea siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika juzi nyumbani kwao buguruni Lozana
Zainabu 'Ikota' mhamila 'Super D' akiwa katika pozi uku akiwa na keki yake
Zainabu 'Ikota' mhamila 'Super D' akiwa katika picha ya pamoja na rafikizake siku ya kusherekea siku yake ya kuzaliwaZainabu 'Ikota' mhamila 'Super D' akiwa katika pozi

Zainabu 'Ikota' mhamila 'Super D' akiwa katika pozi

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...