Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, January 13, 2015

BALOZI SEIF AWATEMBELEA WAGONJWA MNAZI MMOJA !


Muuguzi wa Zamu katika Hopitali kuu ya Mnazi Mmoja wodi ya Watoto Mary Jadi, akimuelezea Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar balozi Seif msongamano wa watoto wanaoungua moto ambao hulazimika kulazwa wagonjwa watatu kwa kitand kimoja.
Balozi Seif akimpa pole Wanu Rajab aliyelazwa Hospital Kuu ya Mnazi mmoja yeye na Mtoto wake baada ya kibanda wanachoishi katika shughuli za Kilimo kuwaka moto katika Kijiji cha Kirombero.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimpa pole Mtoto Nasrya Kombo aliyelazwa Hospitali kuu ya Mnazi mmoja baada ya kuungua moto. Wapili kulia ni Muuguzi wa zamu katika Hopitali kuu ya Mnazi Mmoja wodi ya Watoto  Mary Jadi.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...