Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, January 12, 2015

KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA CCM KIMEKUTANA LEO MJINI ZANZIBBAR


 Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein wa pili kulia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal wa tatu kulia, Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai kulia na Mjumbe wa Halmashauri kuu na Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, wakiwa kwenye ukumbi wa mkutano wa kabla ya kuanza kwa kikao cha kamati maalum ya CCM kilichifanyiaka leo Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.
 Wajumbe wa Kamati Maalum ya CCM iliyokutana leo Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar, wakiwa kwenye ukumbi wa mkutano wakati Kikao hicho kilipokua kikiendelea leo Januari 11, 2014  Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein (kulia) Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal wa tatu (katikati) Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai (kushoto) katika ufunguzi wa kikao hicho.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...