Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, December 24, 2015

KAMPUNI YA MEGATRED YATOA MSAADA WA VYAKULA KWENYE KITUO CHA WATPTP YATIMA BOKO

Msimamizi mkuu wa mauzo kanda ya Pwani wa kampuni ya megatred Albert Kingu kushoto akimkabidhi msaada wa juice na vyakula kwa mtoto Hamis Khatibu anaelelewa katika kituo cha New life orphansi home kilichopo boko basihaya vyakula hivyo vimetolewa na kampuni hiyo kwa asjili ya sikukuu za mwishoni mwa mwaka Picha na Mpigapicha wetu


Msimamizi Mkuu wa Mauzo kanda ya Pwani wa kampuni ya megatred  Albert Kingu akicheza na mtoto Faidha wamiezi 9 anaelelewa katika kituo cha New life orphansi home kilichopo boko basihaya wakati walipotembelea kituo hiko na kugawa msaada wa vyakula kwa ajili ya sikukuu za mwidshoni mwa mwaka uhuu picha na mpigapicha wetu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...