Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, January 7, 2017

MABONDIA MOHAMED MATUMLA NA MFAUME MFAUME WASAINI KUZIPIGA FEB 5 TAIFA


Mratibu wa mpambano wa ngumi Jocktan Masasi katikati akiwainuwa mikono juu mabondia Mfaume Mfaume kushoto na Mohamed Matumla Baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga feb 2 katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa 'Indoor Stadium' Picha na SUPER D BOXING NEWS

Moja wa Viongozi wa TPBC Joe Anena  katikati akiwainuwa juu mikono mabondia Mfaume Mfaume kulia na Mo0hamed Matumla wakati wa utambulisho wa mpambano wao utakaofanyika Feb 5 katika uwanja wa ndani wa Taifa kulia kabisa ni mmoja wa wajumbe wa TPBC Chese Masanja Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Mfaume Mfaume akisaini mbele ya mwanasheria Hussein Mlinga anaeshughudia ni mmoja wa wajumbe wa kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBC Chese Masanja Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Mohamed Matumla akisaini mbele ya mwanasheria Hussein Mlinga anaeshughudia ni mmoja wa wajumbe wa kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBC Chese Masanja Picha na SUPER D BOXING NEWS

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...