Msimamizi wa mazoezi Abdallah Seif 'Kamanyani' akimfanyika mazoezi ya kukaza misuri ya tumbo bondia Ramadhani Shauri anaejiandaa kuzipiga na Azizi Uliza Desemba 31 katika uwanja wa Kinesi Shekilango maeneo ya Urafiki Picha na Super D Boxing News'
Msimamizi wa mazoezi Abdallah Seif 'Kamanyani' kushoto akimsimamia bondia Ramadhani Shauri kupiga beg wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa kuzipiga na Azizi Uliza katika mpambano wao utakaofanyika katika uwanja wa Kinesi Shekilango maeneo ya Urafiki Picha na Super D Boxing News'
Bondia Ramadhani Shauri kushoto akipiga beg uku akiwa kasimamiwa na Abdallah Seif 'Kamanyani' wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa kuzipiga na Azizi Uliza katika mpambano wao utakaofanyika katika uwanja wa Kinesi Shekilango maeneo ya Urafiki Picha na Super D Boxing News'
Msimamizi wa mazoezi Abdallah Seif 'Kamanyani' kushoto akimwelekeza bondia Ramadhani Shauri kupiga ngumi iliyonyooka wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa kuzipiga na Azizi Uliza katika mpambano wao utakaofanyika katika uwanja wa Kinesi Shekilango maeneo ya Urafiki Picha na Super D Boxing News'
No comments:
Post a Comment