Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, July 19, 2012

KAMPUNI YA SIMU ZA MKONONI YA AIRTEL YAZINDUA HUDUMA KABAMBE YA ‘DAKA SALIO’


Meneja Uhusiano wa Airtel Bw. Jackson Mmbando akizungumza na vyombo vya habari ambapo pamoja na kufafanua huduma iliyozinduliwa na kampuni hiyo, amesema kwa sasa mteja yeyote anaweza kukopa ikiwa tu amekuwa mteja wa Airtel kwa mfululizo wa siku 90 na awe anasalio la hadi shilingi 50 na asiwe anadaiwa deni la ‘Daka Salio’ ikiwa alishakopa kupitia huduma hiyo. Kulia ni Meneja Masoko Bw. Salim Madati na kushoto ni Afisa Uhusiano wa Matukio Dangio Kaniki.
Bw. Jackson Mmbando (katikati) akionyesha miongoni mwa mabandiko yanayoashiria kuzinduliwa kwa huduma kabambe ya ‘Daka Salio’.
Na.MO BLOG TEAM
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel imezindua huduma kabambe ya ‘Daka Salio’ ikiwa ni jitihada zake katika kutimiza dhamira yake ya kuendelea kutoa uhuru wa kuongea kwa wateja wake nchini.
Akizungumza na waandishi wa habari, Meneja Uhusiano wa Airtel Bw. Jackson Mmbando amesema Airtel imeamua kuleta huduma hii ya ‘Daka Salio’ kwa wateja wake wote ili waendelee kufurahia huduma zao kila wakati.
Amesema huduma hiyo ni nzuri kwa familia, marafiki, ndugu au jamaa kwa kuwa itaondoa tatizo la watu kubeep.zaidi tembelea http://dewjiblog.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...