Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, July 17, 2012

Lisa aenda China kushiriki Miss World 2012



 Miss World Tanzania 2012, Lisa Jensen akipunga mkono wakati akiondoka katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akieklekea nchini Nchina kushiriki shindano la Miss World 2012. Lisa anaiwakilisha Tanzania katika shindano hilo.
 Lisa akisikiliza jambo kutoka kwa Mkurugenzi wa Lino International Agency, Waandajai wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga(hayupo pichani).
 Lundenga akimsindikiza Lisa kwenda kukaguliwa tayari kwa safari ya nchini China.
   Lisa akiwaeleza jambo Mkurugenzi wa Lino International Agency, Waandajai wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga (kushoto) na Afisa Habari wa Kamati ya  Miss Tanzania,

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...